Logo
Sera ya Lugha kiengerezi
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

  
Sera ya lugha
Tovuti hii ni ya lugha mbili, Kiswahili na Kiingereza. Hata hivyo haina maana kuwa habari zilizomo humu zimo katika lugha zote mbili. Makala nyingine ziko kwa Kiswahili tu, wakati nyingine ni za Kiingereza tu.

Mtindo wetu wa mawasiliano katika tovuti hii, ni ule wa kuelimisha huku ukiburudisha!

Hivyo basi mpendwa kijana pata elimu, pata burudani!

Mhariri