|
|
|
|
Kukaa muda mrefu bila kujamiiana hakuleti madhara yoyote kiafya
Mwanamume au mwanamke akianza kujamiiana baada ya kukaa muda mrefu, atapata raha na starehe kama kawaida. Watu wengine hudai kwamba kutofanya mapenzi kunasababisha mtu kupata chunusi usoni au sehemu za siri au hata kuchanganyikiwa kiakili. Madai hayo si ya kweli.
| |
 |
 |
 |
Usidanganywe na maneno ya watu, kutokujamiiana kwa muda mrefu hakuna madhara yoyote.
|
 |
 |
» to Top of article
»Back to List
|
|
|
|