Logo
Language Policy switch to Swahili

 Transmission
Prevention
Find out more
Questions and Answers
Choose Language
Login for Chat and Discussion Forum

 
   
   Not Registered?
   Register
here

   Homepage > HIV / AIDS > Prevention & Transmission > Transmission
Transmission
Uchangiaji wa vitu vyenye makali na maambukizi
Ni kweli kabisa.

Unaweza kuambukizwa ukitumia nyembe kali au sindano kwa kuchangia pamoja na mtu mwenye virusi vya UKIMWI. Matumizi ya vyombo vyenye makali, kama sindano,visu au nyembe yana hatari.
Kama baada ya kutumika damu inasalia katika vyombo hivi na endapo vitatumika bila kutakaswa au kuchemshwa, matumizi yake yanaweza kusababisha mambukizi ya magonjwa mbalimbali, pamoja VVU.

Kwa hiyo ni muhimu sana kutotumia vifaa vyenye makali na watu wengine au lazima kuvitakasa na kuchemsha kila baada ya kuvitumia.


 
Unafikiri nini kuhusu makala hii? Tupe maoni yako
hapa >>


» to Top of article   »Back to List