Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > Nyuma ya Chezasalama.com
Nyuma ya Chezasalama.com

Katika maisha yetu ya kila siku imedhihirika kuwa 'kidole kimoja hakivunji chawa'. Kwa kuzingatia ukweli huu mashirika matatu yanayohamasisha watu kuzungumza kwa uwazi na kuendesha mitindo ya maisha inayokubalika FEMINA HIP (EADCF), Afya Bomba (SPW) na GTZ (Mpango wa Ujerumani kusaidia sekta ya afya Tanzania ,TGPSH) yameunganisha nguvu zao na kukuletea tovuti hii iliyosheheni habari kem kem kwa faida yako!

There are no Partners at present.

Top of page