|
Kama ilivyo kwa Mradi wa Habari za Afya (HIP), wanachama wa klabu hizi huzungumzia kwa uwazi ujinsia, mitindo ya maisha, magonjwa ya ngono, VVU/UKIMWI na mengineyo mengi. Pia huanzisha mijadala ya mada zilizomo kwenye FEMINA katika jamii zao ikizingatiwa kuwa vichwa vingi pamoja ni bora kuliko kimoja! Anzisha Klab, waandikie FEMINA, watumie picha yenu na muwaeleze mlivyoboresha maisha yenu ki-FEMINA
|