Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

 Habari Mchanganyiko
Michezo
Muziki, dansi na maigizo
Usanii na Mitindo
Kipindi cha wiki cha FEMINA TV Talk Show
Toleo la mwisho la FEMINA na Si Mchezo
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > Habari na Burudani > Yaliyojiri > Habari Mchanganyiko
Habari Mchanganyiko

Afya AFYA BOMBA: UKIMWI hauna likizo! AFYA BOMBA: UKIMWI hauna likizo!
Kauli mbiu ‘Nenda Salama, Cheza Salama, Rudi Salama, UKIMWI hauna likizo’ ni ujumbe mkuu na muafaka uliotolewa katika tamasha la Usiku wa Funga Mwaka wa vyuo vikuu.

Utawala Baraza la Mawaziri
Desemba 14, Tanzania ilifanya uchaguzi wake Mkuu. Lifuatalo ni Baraza la Mawaziri kama lilivyoteuliwa na Rais Jakaya Kikwete

CHEZASALAMA YAANZISHA CHATTING
Mtandao wako huu wa lugha mbili na unaamini katika ushiriki wa watu, chezasalama.com inakuletea mpango wa kuchat!

Elimu Vyanzo vya migogoro vyuoni
Kutokuwepo kwa mawasiliano mazuri kati ya walimu na wanafunzi, wizara na taasisi za elimu ya juu kumeelezwa kuwa ni moja ya sababu zinazochangia kuwepo kwa migogoro katika vyuo vikuu.

Health GTZ and health information
GTZ trains 43 health trainers in Tanga Region

Mabest! Msibaki nyuma! Cheki hapa yanayoendelea, utafaidika. Habari kem kem!