Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > Habari na Burudani > Tamthilia
Tamthilia

Mshirika kusikika kuzuri bwana! Hebu changia mawazo yako! Tuandikie

Katika jumuiya yetu kuna mambo yanayoendelea kila siku. Mambo haya huathiri jamii kwa namna moja au nyingine. Kwa msaada wa picha tunakuletea hali halisi ya kwenye jamii yetu. Pamoja na kukuhabarisha na kukuelimisha yatokeayo kwenye jamii, hadithi hizi za picha pia huburudisha. Usikose uhondo huu, ELIMIKA huku UKIBURUDIKA

Stori ya mwezi huu
Siku hizi vijana wengi wanaishi katika maisha ya unyumba na baadhi yao wanaamua kuoana. Lakini ni wachache tu wanaofikiria kupima afya zao kabla ya kuoana ua kuzaa watoto...





Top of page