|
Habari ni haki yako. Kwa kuzingatia hilo tunakuletea
habari na makala mbalimbali zinazohusu masuala ya kisiasa
na kiuchumi na jinsi yanavyomgusa kijana. Vilevile tunakuletea
habari za burudani kama michezo, muziki, dansi, maigizo, sanaa
na mitindo. Hapa pia utafahamu mambo usiyoyajua kuhusu mastaa
wako wa Bongo, mmoja baada ya mwingine! Matangazo muhimu pia ni
hapahapa. Hivyo usibaki nyuma! Kuwa wa kwanza kufahamu, nenda na wakati!
Matukio yajayo
Habari motomoto za yanayoendelea
kitaifa na kimataifa, habari nyeti kama za uchumi,
siasa na jamii na nyingine kama za muziki, uigizaji,
usanii, mitindo na michezo
Yaliyojiri
Cheki mambo yaliyotokea ripoti, mahojiano na mengine mengi kuhusu habari za kisiasa, kiuchumi na jinsi zinavyomgusa kijana, michezo, muziki, dansi, uigizaji na usanii
Chemsha
Bongo
Je, ulikuwa unajua kwamba maziwa ya mama yanaweza kusababisha maambukizi ya VVU? Cheki uelewa wako kuhusu maambukizi katika chemsha bongo hii!
Tamthilia
Angalia hadithi yetu ya picha, cheki nini kinaendelea hivi sasa ...
Sauti
yako
Kwetu sauti za watumiaji wa Chezasalama.com husikika! Wengine hutuma mapendekezo, mashairi wakati wengine huelezea mawazo na uzoefu wao. Soma michango yao
Top of page
|