Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

 Maambukizi
Kujikinga
Zaidi
Maswali na Majibu
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > VVU/UKIMWI > Kujikinga na Maambukizi > Maambukizi
Maambukizi

Angalia habari hapa chini kwa maelezo zaidi!

Uongezewaji damu na maambukizi ya VVU
Limekuwa ni swali ambalo watu wengi hujiuliza, je kutoa damu na kupewa damu kunachangia maambukizi ya VVU?
Kumwaga shahawa nje, si ngono salama!
Watu wengi hufikiria kuwa shahawa ndizo pekee zenye VVU hivyo kumwaga kabla ya mshindo ni salama
Ulawiti na kunyonyana sehemu za siri vinaweza kuchangia maambukizi
Kuna hatari kubwa ya kuambukizwa VVU wakati wa kujamiiana kwa njia ya sehemu ya haja kubwa au mdomoni na mwenye virusi vya UKIMWI.
Njia mbalimbali za maambukizi ya VVU
Mbali ya kujamiiana kuna njia nyingine ambayo maambukizi ya VVU yanaweza kufanyika hii ni pamoja na ile ya mama kwenda kwa mtoto
Uchangiaji wa vitu vyenye makali na maambukizi
Hivi vi kweli kwamba ukitumia nyembe kali au sindano pamoja na mtu mwenye virusi vya UKIMWI utaambukizwa?
Wadudu kama mbu na maambukizi
Watu wengine wamekuwa wakidhani kuwa wadudu kama mbu wanaweza kuchangia katika ueneaji wa VVU
Kujamiiana ni njia kuu ya maambukizi
Kwa kuwa njia kuu ya maambukizi ni kujamiiana ndiyo maana msisitizo unawekwa katika kubadili tabia kuhusu kujamiiana
Njia ambazo VVU huambukizwa
Virusi vya ukimwi vyaweza kusambazwa katika njia zifuatazo: