|
Angalia habari hapa chini kwa maelezo zaidi!
Usibahatishe tumia kondomu Watu wengi wanazifahamu kondomu lakini hawazitumii hivyo kuhatarisha maisha yao kwa sababu tu ya kuwepo kwa dhana potofu kuhusu zana hizo
|
Kondomu kinga dhidi ya VVU/Magonjwa ya ngono Njia nzuri kuliko zote ya kukwepa maambukizi ni kuacha kujamiiana lakini kutokana na mihemuko wengi hushindwa kuacha, kwa mantiki hiyo kondomu ni kinga yao
|
Acha au punguza pombe Pombe ina tabia ya kufanya ubongo kushindwa kufikiri, na kushindwa kujizuia na vishawishi vya kufanya mapenzi.
|
Jukumu la kujikinga ni lako Usemi kuwa kinga ya VVU unayo mwenyewe, ni kweli kabisa kwani wewe binafsi una jukumu la kujikinga dhidi ya maambukizi.
|
Unamwamini kiasi gani? Imekuwa ni jambo kawaida kwa vijana wakipendana kuaminiana bila kujua historia ya wapenzi wao
|
|