Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

Maambukizi
Kujikinga
Zaidi
Maswali na Majibu
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > VVU/UKIMWI > Kujikinga na Maambukizi
Kujikinga na Maambukizi

Hapana! Hapana! Si kweli kwamba unaweza kupata VVU kwa kuumwa na mbu, ama kukumbatiana au kutumia vyombo vya chakula na walioathirika. VVU havisafiri hewani. VVU huambukizwa kwa kufanya ngono zisizo salama, kuingiliana kwa majimani ya mwili kama damu na manii, kuchangia vitu vyenye ncha kali kama sindano na nyembe. Habari njema ni kwamba unaweza kukwepa maambukizi ya VVU. Cheki hapa njia za kujikinga na VVU wewe na yule umpendae!

Maambukizi Maambukizi
Kuna njia nyingi za maambukizi ya VVU. Je, unajua kwamba mtoto anaweza kuambukizwa wakati anaponyonya maziwa ya mama? Kwa hilo na njia nyingine nyingi za maambukizi soma hapa!

KujikingaKujikinga
Ukurasa huu unakuelezea na kukupa mbinu za kujikinga na VVU.


ZaidiZaidi
Kuna mengi mengine ya kujua kuhusu maambukizi na uzuiaji wake. Soma makala zetu hapo chini kwa taarifa zaidi.


Maswali na MajibuMaswali na Majibu
Maswali yako kuhusiana na kupima VVU pata majibu yake hapa.

Top of page