Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

Maambukizi
Kujikinga
 Zaidi
Maswali na Majibu
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > VVU/UKIMWI > Kujikinga na Maambukizi > Zaidi
Zaidi

Angalia habari hapa chini kwa maelezo zaidi!

Wanandoa na maambukizi
Watu wengi wamekuwa wakidhani kuwa VVU ni tatizo la watu wasio katika ndoa na mara nyingi hasa hudhaniwa kuwa ni wa changudoa
Dalili za mtu aliyeathirika
Huchukua muda mrefu kwa mtu aliyeambukizwa VVU kuanza kuonyesha dalili
Kinga ya mwili dhidi ya magonjwa
Miilini mwetu tuna mfumo wa kinga zinazopambana na magonjwa
Wazazi wawakinge watoto wako wasiambukizwe VVU
Wazazi wana wajibu wa kuwakinga watoto wao wasiambukizwe UKIMWI.
Je, chanzo cha UKIMWI ni nini?
Kuna mazungumzo mengi kuhusu chanzo cha UKIMWI, lakini mpaka sasa hivi haijulikani asili ya ugonjwa huu.
Kinga ya mwili ni nini?
Kinga ya mwili ni mpangilio wa mwili kujikinga na maradhi.
Utepe mwekundu unamaanisha nini?
Utepe mwekundu ni ishara ya kutambua kuwepo kwa VVU/UKIMWI, na pia ni wito wa kuungana na wengine ili kupambana na ugonjwa huo.
VVU/UKIMWI na watoto
Kuna watoto wengi tu hivi sasa ambao ama wana VVU au UKIMWI
Mawazo potofu kuhusu VVU, UKIMWI na ngono
Bado wapo watu wengi ambao hawatumii kondom.