|
Angalia habari hapa chini kwa maelezo zaidi!
Maumivu ya ukimya Kugundua kuwa una VVU ni kitu ambacho hukufaidhaisha mara upatapo majibu
|
Usiishi kwa hofu kapime Matukio mengine hutuchanganya, kwa mfano vifo vya wapenzi wetu au kuugua ugua, hivyo badala ya kujihisi vingine ni bora kupima na kupata uhakika
|
Hata watoto nao wanyanyapaliwa! Unyenyepa ni tatizo ambalo limekuwa likiwakumba watu wengi wanaoishi na VVU au UKIMWI
|
|