Dada Vumilia na Kaka Sultan waamua kupima Dada Vumilia na Kaka Sultan, ambao hivi sasa wanaishi wa VVU kwa matumaini, baada kuhisi kwamba hali si shwari waliamua kupimwa kama wameambukizwa VVU au la
Irene, mtoto anayeishi kwa matumaini Mtoto wa miaka 11 ambaye ametangaza kuwa anaishi na virusi vya UKIMWI anataka kuwa mwandishi wa habari akiwa mkubwa
Sijakata tamaa Kijana ambaye amegundulika kuwa anaishi na virusi vya UKIMWI anaelezea anavyoishi kwa matumaini