|
Kuambukizwa VVU haina maana
kuwa utakufa kesho. Ukiishi kwa matumaini na ukajitunza
vyema unaweza kuishi na virusi kwa miaka mingi.Kuishi
kwa matumaini maana yake ni kula vizuri, kufanya mazoezi
kwa lengo la kujiweka fiti, kupumzika, kutibu magonjwa
andamizi mara yajitokezapo na kutokubali unyanyapaa ukuathiri.
Wanajamii tuna mchango mkubwa kuhakikisha kuwa walioathirika
na walioathiriwa wanaishi kwa matumaini. Pata uzoefu wa
walioathiriwa na wanaoishi kwa matumaini hapa.
Unyanyapaa
Watu walioathirika na VVU wamekuwa wakinyanyapwa kwa sababu tu
wameshaambukizwa. Soma jinsi unyanyapaa ulivyo hatari na kukatisha tamaa.
Haki
za Walioathirika
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWI wana stahili ya haki za kibinadamu
kama ilivyo kwa watu wengine wote. Pamoja na haki hizo wanazo haki nyingine zaidi na
kuzifahamu ni muhimu. Hizi hapa zisome uzitambue!
Zaidi
Kuna mambo mengi ya kufahamu kuhusu kuishi na VVU/UKIMWI. Soma
makala zetu kwa ufahamisho zaidi.
Niende
wapi
Hizi ni sehemu ambazo unaweza kupata taarifa na huduma ya ushauri
nasaha endapo umeshaambukizwa." Kama umeshaambukizwa VVU au unamtunza aliyeathirika basi kwa
ajili ya msaada unaweza kuwasiliana na PASADA, WAMATA, AMREF, CCBRT".
Stori
yangu
Watu wanaeleza stori zao jinsi walivyogundua kwa wameshaambukizwa
na wanavyoendelea kuishi kwa matumaini! Pata stori za kweli, pata uzoefu kutoka kwao waweza
kukusaidia ati!
Maswali
na Majibu
Pata majibu ya maswali yako kuhusu kuishi kwa matumaini, unyanyapaa
na mengineyo hapa!
Top of page
|