Huduma kwa walioathirika UKIMWI umekuwapo kwa kipindi kirefu sasa pote ulimwenguni. Idadi ya waathirika wa VVU inaongezeka kila siku. Hakuna tiba ya VVU, bali magonjwa yatokanayo na upungufu wa kinga mwilini ndiyo yanayoweza kutibika.
Wapi pa kwenda Endapo unataka kupimwa VVU au tayari umeshajua kuwa umeambukizwa VVU na ungependa kuishi kwa matumaini, tunakushauri utembelee sehemu zifuatazo kwa ushauri