|
Virusi vinavyosababisha UKIMWI (VVU) ni tatizo kubwa na limeshatangazwa
kuwa ni janga la kitaifa Tanzania! VVU vimetangaza vita
dhidi ya kizazi chetu nasi tutangaze vita dhidi yao. Virusi
hivi huenea hasa kwa ngono zisizo salama. Viingiapo miilini
mwetu huishi kwenye damu, manii na kwenye majimaji yatokayo
ukeni kisha huharibu mifumo yetu ya kupambana na magonjwa.
Watu wengi wameathirika au wameathiriwa na VVU/UKIMWI.
Pata habari za VVU/UKIMWI hapa uweze kuwa mstari wa mbele
katika vita hivyo.
Kujikinga na Maambukizi
Kuna njia mbalimbali ambazo mtu anaweza kuambukizwa VVU.
Kurasa hizi zitakufafanulia njia hizo na jinsi ya kujikinga na maambukizi, Zisome
zikulinde!
Upimaji
VVU
Kwanini ni muhimu kupima? Faida za kupima ni zipi? Wapi naweza
kwenda kupimwa? Majibu ya maswali haya na mengine mengi utayapata hapa! Bofya tu!
Kuishi
kwa matumaini
Kuambukizwa VVU siyo mwisho wa dunia! Bado unaweza ukaishi maisha
marefu bila kupata UKIMWI. Pata habari unyanyapaa, haki za waathirika na mambo mengine
mengi kuhusiana na kuishi na VVU/UKIMWI hapa.
Top of page
|