If you are worried about your HIV status and would like to go for voluntary counselling and testing then ask in your nearest hospital or go to AMREF,ANGAZA , TACAIDS, IDC or CCBRT.
Kituo cha vijana cha Mwananyamala
Dar es Salaam Information: Kituo cha vijana cha Mwananyamala , mtaa wa sokoni ( Karibu na hospitali ya Mwananyamala).
Kituo cha Vijana UMATI
Mtwivila Iringa
Kituo cha ushauri nasaha cha manispaa ya Iringa
Iringa Information: Kituo cha ushauri nasaha cha manispaa ya Iringa, mtaa wa Kitanzini(karibu na Community House )
Kituo cha ushauri nasaha cha makongoro
Mwanza Information: Kituo cha ushauri nasaha cha makongoro, Mtaaa wa Makongoro, Balewa, Mwanza.
Kituo cha ushauri nasaha cha Aga Khan
Mwanza Information: Kituo cha ushauri nasaha cha Aga Khan, mtaa wa Miti mirefu (nyuma ya msikiti wa Aga Khan), Mwanza.
Kituo cha Afya cha Mnazi mmoja
Dar es Salaam Information: Kituo cha Afya cha Mnazi mmoja, Barabara ya Bibi Titi, Dar es salaam.
Kituo cha Afya cha Magomeni
Dar es Salaam Information: Kituo cha Afya cha Magomeni, Barabara ya Morogoro / Kawawa, Daressalaam.
Kituo cha ushauri nasaha cha mackey Annex
Dodoma Information: Kituo cha ushauri nasaha cha mackey Annex , Mtaa wa mtendeni na Mbeya ( karibu na St. Mary’s Hostel) , Dodoma.
Kituo cha ushuri nasha cha UZIMA
Arusha Information: Kituo cha ushuri nasha cha UZIMA, mtaa wa Ngarenaro (karibu na Kanisa la Kilutheri, Ngarenaro), Arusha.
Kituo cha ushauri nasaha cha Moravian Milumbani
Tabora Information: Kituo cha ushauri nasaha cha Moravian Milumbani Barabara ya Mwanza, Tabora.
Kituo cha ushauri nasaha cha AICT Kambarage
Shinyanga Information: Kituo cha ushauri nasaha cha AICT Kambarage, Shinyanga.
Kituo cha ushauri nasaha cha KCMC Mbuyuni
Moshi Information: Kituo cha ushauri nasaha cha KCMC Mbuyuni, Moshi.
Kituo cha ushauri ushauri Nasaha cha Lindi
Lindi Information: Kituo cha ushauri ushauri Nasaha cha Lindi Mtaa wa Amani, Kata ya Makone Lindi.