|
Je, una wasiwasi kama umeshaambukizwa
VVU? Watu wengi waliokwishaambukizwa hawajui kama wameambukizwa
au la! Hawana dalili zozote za kuathirika. Huwezi kufahamu
mtu aliyeambukizwa kwa kumwangalia tu! Usikubali maisha
yako yajae wasiwasi! Nenda ukapate ushauri na ukapime
ili ujue hali yako! Kisha panga maisha yako. Pata habari
za upimaji hapa.
Maswali
na Majibu
Maswali yako kuhusiana na kupima VVU pata majibu yake hapa.
Zaidi
Habari zaidi kuhusu upimaji wa VVU.
Niende
wapi
Pata anwani ya sehemu unazoweza kwenda kupimwa VVU hapa.
Top of page
|