Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

Jinsi ya kucheza salama
Wasiliana
 Jitegemee
Mitindo mizuri ya maisha
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > Mapenzi na Maisha > Stadi za Maisha > Jitegemee
Jitegemee

Angalia habari hapa chini kwa maelezo zaidi!

Usimwamini yeyote, mapenzi salama muhimu!
Imani uijengayo juu ya mpenzi wako yaweza kuwa sababu ya maambukizi ya VVU kwako.
Kujiwekea malengo
Malengo ni kitu muhimu sana kwa mafanikio ya jambo lolote lile.
Ulevi na maamuzi yasiyo ya busara.
Pombe humfanya mtu kukosa maamuzi ya busara
Kukataa madawa ya kulevya wakati wenzako wanapokushawishi kuyatumia
Kuna mbinu nyingi za kuondokana na vishawishi juu ya matumizi ya madawa ya kulevya.
Kukabiliana na vishawishi vya sugar daddies/mummies
Vijana sasa hivi wamekuwa wakiingia kwenye mkumbo wa wanaume kama mabinti, na wanawake na masugar daddy, kitu ambacho si kizuri
Hatuko tofauti
Albino ni watu kama wengine, wakipewa nafasi hufanya vitu vyao
Kuishi na ulemavu
Pamoja na ulemavu wao, Mabaga Fresh wanatesa
Kataa madawa ya kulevya
Katika ujana, kunakuwa na msukumo mwingi wa kujaribu vitu mbalimbali na mara nyingine wenzako wakikuhimiza.
Kuepuka vishawishi vya ngono bila kondomu
Vijana wamekuwa wakikabiliwa na vishawishi vingi ambavyo vinaweza kuwasababisha wakafanya ngono bila kondomu
Masoud Kipanya, mchora katuni
Katuni ni sanaa ambayo wasanii hutumia michoro kuelimisha jamii kuhusu masuala mbalimbali