Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

Jinsi ya kucheza salama
Wasiliana
Jitegemee
Mitindo mizuri ya maisha
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > Mapenzi na Maisha > Stadi za Maisha
Stadi za Maisha

Maisha si rahisi wakati wote! Tunatakiwa kuwa makini na tupate stadi mbalimbali ili tuweze kufuzu tuyatakayo katika maisha. Wewe ndiye kiongozi wa maisha yako, unatakiwa kuchagua na kuamua masuala fulani fulani katika maisha yako. CHANGAMKA, jipiganie! Weka malengo yako na KATAA vishawishi vinavyotaka usifikie malengo yako. Kumbuka kuwa 'Utavuna ulichopanda!'



Jinsi ya kucheza salamaJinsi ya kucheza salama
Cheza na herufi, zikupe mbinu mbalimbali za mapenzi salama! Angalia mchezo wa herufi hizi hapa. Tumekuletea A-Z. Ukitaka kupata nakala yako ya kwenda nayo, basi bofya hapa!


Wasiliana!Wasiliana!
Kukiwa na mawasiliano mazuri kati yako na wazazi wako, marafiki na mpenzi, mambo huenda murua! Jifunze jinsi ya kuwasiliana mambo yako yakwendee barabara!.

JitegemeeJitegemee
Fikiria ni nini unachotaka na lazima uwe imara kukisimamia. Usikubali kushinikizwa kufanya usilolitaka. Zijue haki zako na jinsi ya kuzilinda hapa!

Mitindo mizuri ya maisha Mitindo mizuri ya maisha
Kwa ajili ya afya yako ya kimwili na kiakili unatakiwa kujifunza na kuishi mitindo ya maisha inayokubalika. Pata mbinu za mitindo hiyo hapa.

Top of page