Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

Jinsi ya kucheza salama
Wasiliana
Jitegemee
 Mitindo mizuri ya maisha
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > Mapenzi na Maisha > Stadi za Maisha > Mitindo mizuri ya maisha
Mitindo mizuri ya maisha

Angalia habari hapa chini kwa maelezo zaidi!

Mpango wa mlolongo wa wapenzi, mmoja baada ya mwingine si mzuri
Ili kubadilisha tabia kukabiliana na maambukizi ya magonjwa ya kujamiiana, vijana wamebadilisha utaratibu wa wapenzi, sasa ni chukua, acha, chukua, acha
Kuwa na furaha, shinda mfadhaiko
Mara nyingi watu wamekuwa wakisongwa sana na mawazo shuleni, kazini na sehemu nyingine kutokana na kazi nyingi, hali ambayo si nzuri kimwili na kiakili
Mapenzi salama ni yapi?
Enzi hizi za maambukizi ya magonjwa mbalimbali mapenzi salama ni muhimu kwa kila mtu.
Mbinu za kuhimili majonzi
Mara nyingi wengi wetu tunapopata mikasa, tunashindwa kuhimili majonzi matokeo yake ni kufadhaika na kupata magonjwa ya moyo
Mitindo ya maisha
Maisha ni vile unavyochagua kuishi.
Jiepushe na matumizi mabaya ya madawa
Matumizi mabaya ya madawa ya kulevya siyo mtindo mzuri wa maisha
Kupunguza tabia hatarishi
Kutokana na shughuli za kila siku na mabadiliko mbalimbali vijana tumekuwa na mitindo fulani fulani ya maisha mingi ikiwa imejaa tabia hatarishi
Usingoje kuumwa na nyoka ndipo ustuke!
Ili kukabiliana na hali jinsi ilivyo ni muhimu kuchukua tahadhari kabla ya hatari
Kujiweka fiti kimazoezi
Ili uwe na afya nzuri kimwili na kiakili mazoezi ni muhimu
Ujana na mazoezi
Kiasi fulani cha mazoezi ya viungo kinasaidia miili yetu kuwa imara, myepesi, inayovutia na pia inasaidia moyo na mapafu kufanya kazi vizuri.