Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

Jinsi ya kucheza salama
 Wasiliana
Jitegemee
Mitindo mizuri ya maisha
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > Mapenzi na Maisha > Stadi za Maisha > Wasiliana
Wasiliana

Angalia habari hapa chini kwa maelezo zaidi!

Usuluhishi wa migogoro ni muhimu
Jamii hukabiliwa na migogoro mbalimbali, hivyo kila mara ni muhimu kutafuta njia muafaka kuisuluhisha
Wasichana wanataka wavulana wa aina gani?
Wasichana wanapenda nini kutoka kwa wavulana?
Waelewe wazazi wako nao wakuelewe
Ili kuepuka matatizo yanayotokana na tofauti kati ya uzamani wa wazazi na usasa wa vijana, mazungumzo kati ya pande hizo ni muhimu
Tuzungumzie kujamiiana
Elimu ya masuala ya ujinsia ni muhimu katika makuzi ya vijana
Wazazi wazungumzie ujinsia, VVU na UKIMWI
ujinsia, VVU na UKIMWI ni mada muhimu sana kwa wazazi kuzizungumzia kwa vijana wao hasa wakati huu wa magonjwa
Wazazi na kigugumizi chao kutoa Elimu ya malezi kwa vijana wao
Ni muhimu kwa mzazi kuwa na muda wa mazungumzo na vijana wao juu ya malezi.
Mawasiliano ni muhimu katika kupalilia mapenzi
Msingi mzuri wa mawasiliano hudumisha mapenzi kati ya wapenzi