|
Maisha yamejaa changamoto, ni mawasiliano yatakayotufunza
kukabiliana nazo. Simama imara. Madawa ya kulevya ni kishawishi,
tukabiliane nacho. Wengine wananyanyaswa. Kuna mambo mengi
yanayoweza kuwa kizingiti katika maisha yako. Angalia mwongozo
wa kukabiliana na matatizo ya maisha kwani mambo yakienda vizuri
maisha huwa poa! Nani asiyetaka mapenzi? Mapenzi mazuri bwana!
Kumbuka kwamba mapenzi huyapa maisha thamani! Cheki hapa.
Stadi
za Maisha
Wote tunahitaji stadi mbalimbali ili tuweze kuishi maisha ya afya
na yaliyojaa furaha.
Elimu inayolenga upatikanaji wa maisha hayo, masuala ya mawasiliano na mengine zaidi
utayapata hapa.
Urafiki,
Mapenzi na Ndoa
Kwa ajili ya habari kuhusiana na mapenzi, urafiki na ndoa, hiki ni
kipengele muhimu kukisoma. Usifanye ajizi, kisome.
Unyanyasaji
Watu wengine wamekuwa wakipigwa, wakitukanwa, kunyanyaswa na
kudhalilishwa na mapatna wao, wazazi, waajiri! Zijue athari za vitendo hivyo na nini cha
kufanya ukinyanyaswa, Cheki hapa!
Madawa
ya kulevya
Baadhi yetu hujaribu kutumia dawa za kulevya. Matokeo yake hujikuta
wametopea humo. Zijue athari za dawa hizo na unavyoweza kuachana nazo hapa.
Elimu,
Kazi na Fedha
Kwa habari mbalimbali kuhusu shule, kupanga na kupalilia taaluma
yako, kupata kazi nzuri na matumizi mazuri ya fedha, cheki hapa.
Top of page
|