|
Wote tunapenda kujisikia
vizuri! Tunataka kujisikia kuwa na raha, wenye nguvu na
siyo wasiwasi. Hivyo tunaweza tukifikiri kuwa dawa za
kulevya, pombe na sigara zitatupa hali hizo. Chunga sana!
Usijidanganye! Kutumia vitu hivyo ili kupata furaha ni
hatari kwani unaweza kujikuta umetopea ulevini! Kujinasua
kutoka kwenye hali hiyo si lelemama! Inahitaji moyo na
kujizatiti kweli kweli! Jua athari za dawa za kulevya
na wapi pa kwenda kwa msaada ili ubadilike hapa.
Aina
za Madawa
Fahamu aina ya dawa za kulevya zitumiwazo zaidi nchini.
Athari
Dawa hizi hudhuru akili na mwili na husababisha mtumiaji
kuzitegemea. Huleta matatizo ya kisaikolojia, kijamii, ugumba nk. Zifahamu ili ukae mbali
nazo!
Zaidi
Mambo mengine mengi tu ya kufahamu kuhusu dawa za kulevya
Niende
wapi
Sehemu ambazo unaweza kwenda kupata msaada ikiwa umeathirika au
unamfahamu aliyeathirika na dawa za kulevya zimeorodheshwa.
Maswali
na Majibu
Pata majibu ya maswali yaulizwayo kila mara kuhusiana na dawa za
kulevya na athari zake hapa.
Stori
yangu
Sikiliza habari za kweli kutoka kwa watu waliotumia dawa za
kulevya, walivyoathirika na walivyobadilika.
Top of page
|