Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

Aina za Madawa
 Athari
Zaidi
Niende wapi
Maswali na Majibu
Stori yangu
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > Mapenzi na Maisha > Madawa ya kulevya > Athari
Athari

Angalia habari hapa chini kwa maelezo zaidi!

Sigara, Tumbaku
Pamoja na kwamba sigara imekuwa kama ni kitu cha kawaida, ina madhara
Pombe hupunguza nguvu za mwanaume kujamiiana
Matumizi mabaya au makubwa ya pombe yana athari nyingi.
Athari za kunusa petroli
Watu wengine hunusa petroli ili waweze kulewa, nalo hili lina athari
Athari za kuvuta sigara
Kuna matatizo na magonjwa mengi na ya aina mbalimbali unayoweza kuyapata kutokana na uvutaji wa sigara.
Madhara ya dawa za kulevya hutegemea
Madhara ya dawa za kulevya yanategemea aina, kiwango na jinsi yatakavyotumika. Pia husababisha uharibifu wa kudumu kwenye mapafu na ubongo.
Athari za pombe akilini na mwilini mwako
Pombe ina madhara kwa viungo vya mwili wako na ubongo wako na hivyo huathiri tabia na hisia zako.
Sigara siyo madawa ya kulevya
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kama sigara ni madawa ya kulevya
Ukweli kuhusu pombe
Kumekuwa na habari nyingi kuhusiana na pombe na ukweli ni huu
Pombe huwaathiri wengi
Pombe huwafanya walevi wafanye vitu ambavyo wasingevifanya iwapo wasingekuwa wamelewa.
Pombe ni sehemu ya utamaduni wa Tanzania
Kama ilivyo kwa nchi nyingine duniani, unywaji pombe ni sehemu ya utamaduni wa Tanzania
Watoto hawatakiwi kunywa pombe au kuvuta sigara
Kutokana na miili yao, watoto hawatakiwi kabisa kutumia sigara wala pombe
Viyeyushi, jihadhari
Viyeyushi ni kemikali ambazo hewa au mvuke wake hutumiwa na vijana kama kilevi