Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

Unyanyasaji wa kijinsia
Mila potofu na gandamizi
Zaidi
Niende wapi
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > Mapenzi na Maisha > Unyanyasaji
Unyanyasaji

Kuna ukatili mwingi sana duniani ambapo wanawake na watoto ndio waathirika namba moja! Ukatili hukiuka haki za binadamu na uko katika sura mbalimbali. Kuna vipigo, kutukanwa, kushikwa au kupapaswa mtu bila ridhaa yake, ubakaji, ulawiti, unajisi na baadhi ya mila potofu kama vile ndoa za lazima, za umri mdogo na kurithi wajane. Ukeketaji (kutahiri wanawake) ni moja ya ukatili. Vitendo vya ukatili havina budi KUKOMESHWA! Kama unakatiliwa usikate tamaa, soma mambo yanayoweza kukusaidia kukabiliana na hali hiyo na wapi pa kwenda kwa msaada.

Unyanyasaji wa kijinsiaUnyanyasaji wa kijinsia
Je, patna wako anakunyanyasa kijinsia? Unataka kufahamu zaidi kuhusu ubakaji, ushambuliaji wa aibu au kunyanyaswa kwa maneno? Cheki hapa.


Mila potofu na gandamiziMila potofu na gandamizi
Pata habari kuhusiana na mila na desturi zinazoathiri wanawake kama vile ndoa katika umri mdogo, kurithi wake, kunyang'anya mali, ukeketaji na upendeleo kwa mtoto wa kiume hapa


ZaidiZaidi
Kuna mambo mengi ya kuyajua kuhusiana na haya...


Niende wapiNiende wapi
Hapa unapata habari kuhusu wapi unakoweza kwenda kupata msaada na ushauri endapo wewe au mtu unayemjua amenyanyaswa kijinsia.


Top of page