Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

Unyanyasaji wa kijinsia
Mila potofu na gandamizi
 Zaidi
Niende wapi
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > Mapenzi na Maisha > Unyanyasaji > Zaidi
Zaidi

Angalia habari hapa chini kwa maelezo zaidi!

Kwanini unyanyaswe? Kataa kunyanyaswa
Loveness (sio jina lake halisi) alikutana na mume wake 1984 na baada ya mapenzi ya miaka mitatu, walifunga ndoa. Ilikuwa ni harusi ambayo msichana yoyote anatamani, “ilikuwa siku ya furaha kubwa katika maisha yangu,” anakumbuka Loveness.”
Usilee unyanyaswaji
Neno la kutiana shime kwa wanawake wanaonyanyaswa kuhitimisha unyanyaswaji wao majumbani