|
Aah! Mmh! Aluu! Je, mwili wako unahemuka na kunyevuanyevua? Vipi,
uume wako umesimama? Unajisikia kama kuna majimaji katika sehemu
zako za siri? Usichanganyikiwe, hizo ni dalili za mhemuko wa
raha ya mapenzi. Hata hivyo haina maana kuwa lazima ufanye ngono.
Furahia kubusu, kukumbatia na kupiga punyeto. Kama unaamua kufanya
ngono, basi CHEZA SALAMA. Je, wajua kwamba Ngono Salama=Wasiwasi
kidogo tu= Hivyo URODA ZAIDI? Pata njia mbalimbali za kupata
raha hiyo hapa.
Jinsi
ya kupata raha ya kujamiiana
Kuna njia mbalimbali ili uweze kufikia raha ya kujamiiana.
Mshindo
Kuhusu njia mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kufikia mshindo na
nini hufanyika hadi kufikia hali hiyo, soma hapa. " Pata mbinu mbalimbali za kufikia mshindo
, kilele cha kujamiiana. Lakini, waweza kufikia mshindo bila kujamiiana.
Matatizo
ya Afya ya uzazi
Una wasiwasi kwamba huna nguvu za kiume au za kike? Je una
wasiwasi kama unaweza kupata matatizo endapo utajamiiana wakati ukiwa katika hedhi? Hapa
ni mahali muafaka kwako kupata majibu ya hofu zako.
Zaidi
Kwa ajili ya mambo mengi kuhusiana na raha ya kujamiiana, jisomee
mwenyewe au pamoja na rafiki zako!
Maswali na Majibu
Maswali mengi kuhusiana na kupevuka, raha ya kujamiiana, mshindo
na raha zake yatapata majibu sehemu hii.
Top of page
|