|
Unawashwa sehemu za siri au zinauma? Maambukizi yanaweza kuathiri
sehemu zetu siri na mfumo wa uzazi. Wakati maambukizi mengine
hufanyika kwa kujamiiana na mwenye ugonjwa wa ngono, mengine
hayatokani na kujamiiana na haya hutibika kirahisi, ilimradi yawahiwe.
Wengine hutafuta mtoto kwa muda mrefu bila mafanikio. Ugumba au utasa
huweza kuwa ni tatizo na huathiri wake kwa waume. Pata habari zaidi
hapa na wapi pa kupata msaada.
Magonjwa ya Kujamiiana
Yote utakayo kuyajua kuhusiana na magonjwa yatokanayo na ngono,
yapate hapa.
Maambukizi
mengine
Mbeleni kunawasha au kunauma na unataka kujua kulikoni? Na nini
cha kufanya kuhusu hali hiyo? Pata majibu yako hapa
Utasa/Ugumba
Utasa au ugumba maana yake ni kutokuwa na uwezo wa kuzaa. Hali hii
huwakumba wanaume kwa wanawake. Soma zaidi hapa.
Zaidi
Kuna mambo mengi ya kuyajua kuhusiana na matatizo ya afya ya
uzazi, soma hapa UJIFUNZE!
Uende
wapi
Zifahamu sehemu ambazo unapaswa kwenda kwa msaada na ushauri
kuhusiana na matatizo ya afya ya uzazi!
Maswali na Majibu
Maswali na Majibu kuhusu Matatizo ya Afya ya Uzazi.
Top of page
|