|
Usijali sana kuhusu hili! Hiki ni kile kipindi ambacho wote tunapitia
wakati tukikua kuelekea kuingia utu uzima: wasichana wanavunja
ungo na wavulana wanabalehe. Vijana hubadilika kimwili na kifikra.
Mabadiliko mengine hutuchanganya wakati mengine hutufanya tujisikie
vizuri. Hata hivyo mabadiliko yote haya ni ya KAWAIDA. Kwa habari
zaidi soma hapa
Maumbile
Kwa msaada wa michoro pambanua tofauti zilizopo kati ya wavulana
na wasichana.
Jinsia
Mara nyingi watu huchanganya jinsia na ujinsia. Hapa utapata
maana sahihi ya vitu hivyo na tofauti zake. Soma makala ya ujinsia hapa
Zaidi
Kuna mambo mengi unayotakiwa kuyaelewa kuhusiana na kupevuka,
hivyo ukicheki hapa utayafahamu!
Maswali na Majibu
Pata majibu ya maswali yawatatizayo wengi kuhusiana na kupevuka hapa.
Top of page
|