Angalia habari hapa chini kwa maelezo zaidi!
Kuvunja ungo! Damu inayotoka wakati wa kuvunja ungo au wakati msichana akiwa katika siku zake, si uchafu bali ni alama ya afya
|
Wavulana, kusimika na ndoto za kujamiiana Katika kukua kwao, wavulana hupata ndoto nyevu ambapo huota wakifanya mapenzi na wasichana, hivyo hujikuta wakimwaga manii ndotoni
|
Mvulana na mabadiliko ya balehe Wakati wavulana wakitoka kwenye utoto na kuingia utu uzima hupata mabadiliko mbalimbali kimwili, kifikra na kiakili
|
Kuvunja ungo si ruhusa ya kuanza kujamiiana Wasichana wengine wakiona tayari wamevunja ungo basi hudhani kuwa ni wakati wao wa kuanza kujamiiana, la hasha! bado.
|
Kwanini wengine hupata hedhi mara mbili kwa mwezi? Kwa kawaida mwanamke aliyekwishakuvunja ungo anatakiwa kupata hedhi mara moja tu kwa mwezi, lakini kuna wengine hupata siku hizo mara mbili kwa mwezi, inakuwaje?
|
Wasichana na mabadiliko ya balehe Wakati wasichana wanakuwa kutoka utoto kwenda utu uzima, hupata mabadiliko mengi ya kimwili na kiakili
|
Bikira maana yake nini? Bikira ni mwanamke au mwanaume ambaye hajawahi kujamiiana, kwa maana kuwa hajawahi kuingiliana kimwili na mtu wa jinsia tofauti.
|
Wavulana mko poa tu! Duniani kote vijana wa kiume wanatumia muda mwingi kufikiria na kuwa na wasiwasi kuhusu uume, ikiwamo ukubwa, sababu za uume kupinda na kama wako katika
hali ya kawaida.
|
Kutahiri wanaume ni vizuri au vibaya? Ni swali zuri! Katika baadhi ya mila na dini , ngozi ya mbele ya uume (govi) hukatwa, na kukiacha kichwa cha uume wazi.
|
Uongo kuhusu uume Kumekuwa na maneno mengi kuhusiana na uume! Mengine ya kweli na mengine ya uongo. Hapa tunakuletea uongo!
|
Matiti ya mwanamke na mvuto wake Matiti ni matiti tu yawe makubwa au madogo, yote yanafaa tu.
|
Kukaa muda mrefu bila kujamiiana hakuleti madhara yoyote kiafya Kumekuwa na hadithi nyingi kuhusiana na athari anazoweza kupata mtu aliyeacha kujamiiana kwa muda mrefu, wengine husema anaweza kuchanganyikiwa
|
Je wewe ni mwanaume kweli? Uume katika mwili kwa kiasi kikubwa unaonekana kuwa ni alama ya uanaume halisi na kuwa kivutio kwa wengi. Vijana wengi wanazama katika fikra kuhusu uume na kutaka kujua jinsi unavyosimama. Wanakuwa hata na wasiwasi juu ya maumbile yake na uwezo wao wa kuf
|