|
Angalia habari hapa chini kwa maelezo zaidi!
Usiwe baba kwa kubahatisha tu, panga! 'Kazi si kulea mimba, kazi kulea mwana' walisema wahenga, hivyo ujue wazi kuwa kuna kazi kulea mtoto hivyo jitayarishe.
|
Kunyonyesha Kazi ya mama haiishii kwenye kubeba mimba tu, bali huendelea hadi kujifungua, kunyonyesha na kulea mtoto huyo.
|
Majukumu ya Baba Kwa kuwa baba na mama wanahusika na mtoto anayezaliwa ni vyema baba naye akashirikishwa kwenye maandalizi ya mtoto
|
|