|
Ili kutengeneza mtoto ni lazima mwanamke na mwanaume wahusike! Kila
mwanamke na mwanaume wanapofanya ngono bila kutumia vizuizi
vya mimba kuna uwezekano wa mwanamke kupata ujauzito. Lakini,
utajuaje kama umeshapata mimba? Je umekosa hedhi? Una wasiwasi
kuwa umenasa? Hujui nini ufanye? Fikiria kwanza! Kupata mtoto
kutabadilisha maisha yako, ya mwenzi wako na familia zenu. Kwa
ushauri zaidi kujua nini cha kufanya bofya hapa.
Zaidi
Kwa habari zaidi kuhusiana na masuala ya ujauzito, kujamiiana
wakati huo, mimba zisizopangwa, utoaji mimba, kujifungua na mengineyo cheki makala hapo
chini
Haki
na Wajibu wako
Katika mimba kuna suala la haki na wajibu wako, hivyo basi hebu
chungulia hapa upate kuelimika juu ya hayo! Ni muhimu
Ufanye
nini
Ukihisi kuwa u-mjamzito usikae tu kungojea nini kitakachotokea,
nenda kliniki kupimwa na kupata ushauri. Hilo ni moja tu kuna mengi, soma hapa chini
uyajue!
Uende
wapi
Kama unafikiri kwamba u-mjamzito tunakushauri uende sehemu zifuatazo kwa msaada na ushauri, orodha hii imeandaliwa kwa ajili yako
1. Marie Stopes
2. Kliniki za UMATI
3. Hospitali binafsi
4. Vituo vya afya vya serikali
Maswali na Majibu
Kuna maswali mengi ambayo vijana hujiuliza kila mara kuhusu mimba,
inatokeaje, kwanini mapacha na mengine mengi. Pata majibu yako hapa!
Top of page
|