Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

 Zaidi
Haki na Wajibu wako
Ufanye nini
Uende wapi
Maswali na Majibu
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > Ujinsia > Mimba > Zaidi
Zaidi

Angalia habari hapa chini kwa maelezo zaidi!

Tuliza 'Ball' kijana
Wapenzi wanaweza kupata raha bila kujamiiana, hivyo hakuna sababu za kupata mimba za utotoni/zisizotakiwa.
Kujamiiana wakati wa ujauzito
Wakati wa ujauzito je watu waendelee kujamiiana au wasubiri mpaka mama ajifungue? Watu wengi hupenda kujua hilo kwani linawatatiza
Uzazi katika umri mdogo
Athari za uzazi katika umri mdogo ni nyingi na zinaweza kusababisha kifo kwa mama na mtoto au ulemavu wa kudumu.
Kuharibika kwa mimba
Mara kadhaa tumekuwa tukisikia kuwa mimba zimeharibika, hii inamaanisha nini na kitu gani hasa husababisha hali hiyo?
Kinachowafanya wasichana wapate mimba zisizopangwa
Kuna imani potofu zinazowafanya wasichana waendelee kupata mimba zisizopangwa
Jinsi ya mtoto inavyotengenezwa
Limekuwa ni swali ambalo wengi hujiuliza, inakuwajekuwaje mpaka mtoto anakuwa wa kiume au wa kike?
Utoaji mimba
Wasichana wengi ambao hupata mimba ambazo hazijapangwa hujikuta wakizitoa bila utaalamu hivyo kuhatarisha maisha yao
Kujifungua
kutokana na kutokuwapo kwa habari za jinsi na shughuli za uzazi, vijana wengi ambao hawajawahi kuzaa hawajui cha kufanya wakati wa kujifungua
Wasichana wadogo, mimba na kukataliwa na jamii
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa wasichana wanaopata mimba zisizopangwa kukataliwa na jamii.
Kisa cha Nuru kupata mimba
Wanafunzi kupata mimba na athari wanazopata kufuatia tendo hilo ni kubwa kijamii, kielimu na kiuchumi
Mimba inatokeaje
Ukitaka kuelewa jinsi mimba inavyopatikana lazima uelewe mzunguko wa hedhi wa mwanamke.
Lini hasa yai hupevuka katika mzunguko wa mwezi?
Ni wakati gani yai hupevuka ni swali ambalo limekuwa likiulizwa na wengi hasa wale wanaotaka kujaribu kuzuia mimba kwa kujamiiana katika siku salama