|
Hatuzungumzii
ngono tu hapa! Ujinsia ni zaidi ya kufanya ngono. Ujinsia
ni ile nguvu inayotusukuma wote wanawake kwa wanaume kutaka
mapenzi, kuwa ukaribu wetu na wenzi wetu pamoja na uwezo
wetu wa kupata watoto. Ujinsia una athari katika fikra,
hisia na matendo yetu. Je, ulishawahi kufikiria kwa undani
kuhusiana na masuala yote ya ujinsia? Pata habari kuhusiana
na Ujinsia hapa.
Kupevuka
Kwa masuala yote utakayokufahamu
kuhusu kupevuka, mabadiliko katika miili ya wavulana na
wasichana wanapokuwa kutoka utotoni kwenda katika ujana
nini kinachotokea.
Raha
ya Mapenzi
Wote tunapata hamu ya kufanya
mapenzi na wakati mwingine tunajaribu kupata njia za kukidhi
kiu zetu za kimapenzi. Ili kujua njia mbalimbali za kukidhi
haja zetu hizo kwa usalama zaidi.
Mimba
Unataka kujua mimba zinatokeaje,
ufanye nini ukiwa mjamzito, haki na wajibu wako pamoja
na ule wa mwenzi wako, na maswali mengine ambayo vijana
wengi hujiuliza kila mara...
Uzuiaji
mimba
Pata mbinu mbalimbali za kuzuia
mimba zisizotakiwa, faida na hasara za njia hizo.
Matatizo
ya Afya ya Uzazi
Kila unachohitaji kufahamu kuhusu
magonjwa ya kujamiiana? Jinsi yanavyoambukizwa, dalili
zake na matibabu? Vipi kuhusu matatizo ya ugumba, utasa
na kutosimamisha uume? Sehemu hii ni muafaka.
Top of page
|