Logo
Sera ya Lugha kiengerezi

Njia
 Haki zako
Uende wapi
Maswali na Majibu
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

   Homepage > Ujinsia > Uzuiaji mimba > Haki zako
Haki zako

Angalia habari hapa chini kwa maelezo zaidi!

Umri unaofaa mtu aanze kutumia mbinu za kuzuia mimba
Pamoja na kwamba haki ya huduma za kuzuia mimba ni haki ya vijana, wanapaswa kupata ushauri kutoka kwa mtaalamu kuhusiana na mbinu hizo
Sera ya Taifa ya huduma za uzazi wa mpango
Haki ya huduma za uzazi wa mpango ni haki ya watu wote waliokwishaanza kujamiiana, ukinyimwa zidai
Haki za jinsia na mahusiano ni haki za kibinadamu
Kila mtu awe kijana au mzee ana haki zake kijinsia na kimahusiano, na zinatakiwa kuheshimiwa