Sindano, vipandikizi na uzuiaji mimba Njia hizi za uzuiaji mimba lazima zimshirikishe mtaalamu wa afya, hii ni pamoja na uwekaji wa kitanzi na uchomaji sindano
Kondomu na uzuiaji mimba Zana hii ambayo wengine huiita soksi au jezi haipaswi kutumiwa zaidi ya mara moja
Kondomu ya kike Aina hii ya kondomu ni mpya nchini, ikilinganishwa na ya kiume
Kondomu ya kiume Kondomu ni moja ya njia za kuzuia mimba zisizotakiwa
Kuchagua njia ya kuzuia mimba ikufaayo Katika kuchagua njia ya kuzuia mimba ni vizuri pia ukajiuliza kama njia utumiayo inakukinga na maambukizi ya magonjwa ya ngono na VVU