|
Kama hutaki kupata ujauzito, tumia njia za kuzuia mimba. Kuna njia
mbalimbali za kuzuia mimba lakini, pia kuna uvumi mbalimbali
unaosemwa kuhusiana na njia hizo! Pata ukweli kuhusiana na faida
na hasara zake. Je, wajua njia inayokufaa wewe na patna wako?
Wapi kwa kupata vizuizi hivyo na ushauri kuhusiana na njia hizo
tena kwa usahihi? Cheki hapa.
Njia
Pata habari zaidi kuhusiana na njia mbalimbali za kuzuia mimba.
Haki
zako
Kama watu wengine wanaojamiiana, vijana wana haki mbalimbali
kuhusiana na matumizi ya njia mbalimbali za uzazi wa mpango
Uende wapi
Fahamu sehemu ambazo unaweza kwenda kwa ajili ya kupata huduma za
uzazi wa mpango
Maswali na Majibu
Maswali yote ambayo vijana hujiuliza kuhusiana na mbinu za uzuiaji
mimba, majibu yake yanaweza kupatikana hapa.
Top of page
|