Logo
Sera ya Lugha kiengerezi
Chagua Lugha
Kuingia katika majadiliano

 
   
   Hujaandikishwa?
   Andikisha
hapa

Heri ya Mwaka Mpya!

Washkaji, bila shaka sote tunafuraha kubwa kumaliza mwaka 2009 ambao ulikuwa noma kutokana na matatizo ya uchumi yaliyokumba dunia nzima. Mimi nawaombeni mjipange kisawasawa ili mwaka huu wa 2010 utakapoisha sisi sote tuwe tumechangia kupunguza matatizo yetu binafsi ya kiuchumi pamoja na familia zetu na ya kitaifa. Najuwa tunaweza, najuwa tutafanikisha na bila shaka yoyote ni LAZIMA tufanikishe lengo hili.

Poa!The Red Ribbon - Health Improvement Project

Freddie

Toleo Jipya
Toleo la Zanzibar
Hakuna anayejali?

Je, una VVU na unaishi Bukoba, Dar es Salaam au Dodoma? Kuna mtu anayejali.

» Cheki!

Cheki!

Zoza nasi

Tuna hamu kubwa kusikia kutoka kwako. Usikae kimya zoza nasi.

» Bofya hapa!

Bofya hapa!

Usiogope benki

Acha kuogopa benki. Benki zipo kukuwezesha kufungua akaunti ili uweze kutunza pesa zako.

» Jifunze!

Jifunze!

FEMA TV Talk Show

Cheki TBC-1 (Jumanne na Jumamosi) na ITV (Jumatano na Jumamosi) upate uhondo!

» Cheki mambo!

Cheki mambo!
Shinda!

Tunaandaa mizawadi mingi kuliko ilivyowahi tokea. Tembelea Chezasalama kuanzia tarehe 23 hadi 29 Machi 2010.

» Endelea!

Endelea!

Maswali yajibiwa

Pata majibu ya maswali kama: Je, msichana akijamiiana mara moja tu anaweza akapata mimba?

» Fuatilia!

Fuatilia!

Unasemaje...
"Upatikanaji wa huduma za afya na haki za binadamu" ni nini?
Kauli mbiu ya UKIMWI duniani
Jukumu la Serikali na raia wote
Lengo la kukabiliana na UKIMWI Tanzania
Kauli mbiu ya Siku ya UKIMWI 2009
Sijui